myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe jioni njema
Niaje mzee
Acha tu mzee,kila nikiamka nakuta nguo zote zimeshaloekwa, hakuna kuchomoka mixer mjai ya kuoga yametiwa viungo full kunukia pilau..Mzee Umefichwa sana na Hijab, mixer kufuliwa nguo zako zote kila Asubuhi
Kitambo sana vipi harakati
Oldskul za moto hizi
16:1015:44
Jambo jema bro nafurahi kukuona hapa ndani....Hahah mzee mwenzangu... Nipo bhana, mambo mambo tu yalibana, ila kila kitu kipo sawa.
Huku kwa kina Sarah kwema kabsa,wamekukumbuka tu
#naniamekupigiasimubro[emoji2][emoji2]
Full Time 2 - 2 Mkatalunya ila game ilibidi mshindi ajulikane tukapiga matuta hivyo kipa wetu akaibuka shujaa, alifuta mbili hivyo tulishindaMkatalunya game iliishaje pale TMK ?
Oldskul za moto hizi
😂😂😂😂Acha tu mzee,kila nikiamka nakuta nguo zote zimeshaloekwa, hakuna kuchomoka mixer mjai ya kuoga yametiwa viungo full kunukia pilau..
Fresh bro, Mungu anasaidia.. Vipi kwa upande wako huko?