Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wazungu ni watu wa hovyo sana, kisa tu Mugabe aliwanyang'anya mashamba ndugu zao wameamua kumchafua kwa maneno ya hovyo ili tu historia ya mazuri kwa Waafrika yapotee.
Baada ya miaka kumi ijayo kizazi kijacho kitamchukulia kama rais ambaye alikuwa mdhalilishaji na si mkombozi wa Waafrika. Leo hii Gaddaf kapotea kwenye historia ya mema.
 
thats called KARMA.
Baya moja hufuta mema yote!
Hata hivyo Historia ya Mugabe haikua na mwisho mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…