Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Happy new month1 october
Sema kaka sio makaka Mbona unatuhusisha na wengine kwenye huo ukaka?utasababisha makaka tuone picha zisizofaa
Na kwako piaSalam kwenu
Hahaha hashtag [emoji91][emoji91][emoji91]Kaka yako Bradha nae anataka kukusaidia kuimba taarabu? [emoji23]
#MimiSipoKwenyeZoneYaUkaka
Hahahah hizi hashtag nazielewa sasaHahahahaha utadhan anaweza na alivyo mpole
#kakadavetachakunikanadadaako
Hahahaha [emoji109][emoji109]Atakukimbia tu huyo usimuamini
#Nimesemasitakimimisiokakayako
[emoji28]
Mzee mwenzangu.. [emoji16][emoji16]Sema kaka sio makaka Mbona unatuhusisha na wengine kwenye huo ukaka?
Mambo vp Depal?[emoji120][emoji120]View attachment 1220412
Salama kabsa,, kheri ya mwezi mpyaPoa Ninge, za kwako?
Na iwe kwako pia Bro 🙏Salama kabsa,, kheri ya mwezi mpya
Asante sana.Na iwe kwako pia Bro [emoji120]
Asante kwa kunipa makaak wengi yaan bradha wewe ni jiniasutasababisha makaka tuone picha zisizofaa
JamaniiiiAtakukimbia tu huyo usimuamini
#Nimesemasitakimimisiokakayako
😅