Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zifuatazo ni faida za kutumia mchaichai kiafya.
1. Mchaichai ni kinga dhidi ya saratani.
Tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa kwenye kila
gram 100 ya mchaichai, kuna viondosha
sumu ambavyo vina uwezo wa kuukinda mwili
dhidi ya ugonjwa wa saratani. Mwaka 2006,
timu ya watafiti kutoka Chuo kikuu cha Gurion,
Israel waligundua mchaichai un uwezo wa kuua
seli zinaweza kusababisha saratani.
 
3. Husaidia kusafisha figo na mkojo.
Mchaichai pia una kazi ya kusafisha figo
ambayo kazi yake kubwa ni kusafisha damu
mwilini, kuondoa mafuta mabaya mwilini
ambayo mengi yanatengenezwa na kemikali
kiwandani na hivyo mwili kushindwa kuziondoa
na baadaye kusasababisha magonjwa
mbalimbali ikiwemo saratani.
 
Figo inapokuwa safi na imara, hata kazi nyingine
kama kusafisha mkojo zinafanyika kirahisi kwani
mkojo unapozidi kuwa mchafu mtu hujikuta
akivimba mwili na wakati mwingine kufikia hata
hatua ya kupoteza maisha.
 
5. Mchaichai hutibu vidonda vya tumbo na
kupunguza kiwango cha gesi tumboni.
Hata hivyo kwa wagonjwa wanaosumbuliwa
hasa na vidonda vya tumbo, mchaichai husaidia
kuondoa gesi ambazo huwapata mara kwa
mara.
 
FB_IMG_1569898402071.jpeg
 
Back
Top Bottom