Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Alisema kwa muda aliomuendesha Asia alifanya kazi kwa uvumilivu na kumchukulia kama alivyo na hakuwa na uwezo wa kumfanya lolote kwani alikuwa bosi wake.
Jizazi!Jamaniiii
#inapendezaetikakaking
Hahahaa king banaJizazi!
Basi naomba nitoe kwenye ukaka niite jirani tu
😂😂Hahahaa king bana
😂😂 yani we bana
Inanoga sana sema wewe tu ndio hutaki kuinogesha.....Eti jirani king
#hataHainogi
Depal hujambo?😂😂 yani we bana
Hujafanya kituNmefanyaje mimi
Sijambo Davet, habari ya wewe?Depal hujambo?
Hahaa kamasemo gani hebu nikumbushepoInanoga sana sema wewe tu ndio hutaki kuinogesha.....
Unajua nataka kucheza ndani ya kale kamsemo chako