Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nyota tano hii Frag
π―Nyota tano hii Frag
πππHeheheheeee we kijana tulia huko
#jiraniHachomwichomwiujue
Nyanda gani upo?π―
Eeh tunyonyo twa saa sita na robo kama sio kamili π Mkokaa unasikia
π€£π€£π€£π€£ Hamna Nyanda huko kwenye hiko chakulaNyanda gani upo?
Tutaweka usiku watoto wakilalaEmbu wekeni hapa tuone
Patakua wapi tena zaidi ya hapa hapa kwenye LikesWapi hukooooo π
ππππ eti hamna Nyandaπ€£π€£π€£π€£ Hamna Nyanda huko kwenye hiko chakula
Tutaweka usiku watoto wakilala
Nimeiona hii.Kaka yako Bradha nae anataka kukusaidia kuimba taarabu? π
#MimiSipoKwenyeZoneYaUkaka
π Hayo mambo ya kupandishwa Ndege na kuyaweka humu anayaweza Naniliu tuuu...ππππ eti hamna Nyanda
Nikajua mwenzetu na wewe umeshapandia ndege
Nimeiona hii.Kaka yako Bradha nae anataka kukusaidia kuimba taarabu? π
#MimiSipoKwenyeZoneYaUkaka
Jizazi! Sikutaka uone kabisaNimeiona hii.
Hahah! Basi tuishie hapo hapo tu ila wakubwa wanafaidi sana.....π Hayo mambo ya kupandishwa Ndege na kuyaweka humu anayaweza Naniliu tuuu...
Nimeiona hii.Kaka yako Bradha nae anataka kukusaidia kuimba taarabu? π
#MimiSipoKwenyeZoneYaUkaka
Nimeshaona sasa.Jizazi! Sikutaka uone kabisa
Tunashukuru Mungu ni Mwema siku zote...Hahah! Basi tuishie hapo hapo tu ila wakubwa wanafaidi sana.....
Mambo yako niaje aisee?
Bro nimekuhamu, za kuadimika?Nimeiona hii.
Ile emoj ya mtu anakimbia ikae hapaNimeiona hii.
Nimeshaona sasa.
Halafu hutaki ukaks kwani una mipango gani yakinifu ya baadae?