Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WANTED
jina : shimba ya buyenze
amepotea : tokea mechi ya yanga na zesco.

  • ameondoka nyumbani kwa wajukuu zake akiwa amevalia bukta manjano, fulana kijani na ndara kijani.
  • ana matatizo ya kupenda wanawake wenye makalio makubwa
  • hana tatizo la akili japokuwa ana miaka 96 ya kuzaliwa.
atakayemuona apige simu namba 0877123456
Already found/captured....
 
FB_IMG_1569928787170.jpeg
 
Back
Top Bottom