moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro naona kama unapiga kumbe una dribble [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika Mungu hugawa ridhiki kwa kila mmoja.Tangu zama za umaarufu wake kijijini huko Sedhiou, Casamance Senegal, mpaka supa star wa Dunia.
Endelea kung'arisha jina lako, nchi yako na bara zima la Afrika.
SADIO MANEView attachment 1221388
👍Mfadhaiko ni ugonjwa unaoathiri namna mtu anavyojisikia, anavyofikiri na tabia yake.