Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Imebidi nikaisomePost No# 2
😂😂😂😂
Imebidi nikaisomePost No# 2
😂😂😂😂
Achana na ile ya shamsaford, niliweka tena muulize NingeYaani ile mipaja ya Shamsa ndio wewe acha uwongo 😀😀😀😀mbona mimi yangu nimeweka tena sura bila kuficha.
Wewe yupi, emu jitupieSio mimi mpendwa
Kuna mtoto anampenda sana jamaa yake kupitiliza, basi jamaa anamtesa sana mtoto wa watu kila siku mtoto ananipigia simu analia kuulizwa na mahusiano yao . Post kama hii inamfaa aisome
Nimetia kambi huko kuna vichekesho sanaImebidi nikaisome
Mkuu nimekupm[emoji134]Hakika Mungu hugawa ridhiki kwa kila mmoja.
Yaani unaogopa kutupia picha yangu hiyo nasubiri yako mremboWewe yupi, emu jitupie
Unaleta matani kazini 😂Yaani unaogopa kutupia picha yangu hiyo nasubiri yako mrembo View attachment 1221536
Dunia kwa Sasa watu wanapenda uwongo kuliko ukweli yaani naanzaje kuleta utani kwa jambo serious kama hiliUnaleta matani kazini 😂
Kuna mtoto anampenda sana jamaa yake kupitiliza, basi jamaa anamtesa sana mtoto wa watu kila siku mtoto ananipigia simu analia kuulizwa na mahusiano yao . Post kama hii inamfaa aisome