Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 1221542Pole yake huyo mrembo mpatie na hii asome kwenye mahusiano inatakiwa uwe katili inapobidi mtu akikuzingua nawe unamzingua zaidi yake sio unalia kiboya.
Hahah! Nikimtumia post nyingi ataweza kuona nina malengo yangu mengine maana mapenzi yana nguvu sana......

Ila umesema ukweli Hawachi 😅 kuna watu ukionyesha upendo badala na yeye afanye kama wewe ila anatumia kama mwanya wa kukutesa . Sasa hapo Dawa ya jeuri ni kiburi
 
Hivi kwenye ule uzi upo mpendwa utupie japo mkono tujionee
20191002_131652.jpg
 
Hahah! Nikimtumia post nyingi ataweza kuona nina malengo yangu mengine maana mapenzi yana nguvu sana......

Ila umesema ukweli Hawachi 😅 kuna watu ukionyesha upendo badala na yeye afanye kama wewe ila anatumia kama mwanya wa kukutesa . Sasa hapo Dawa ya jeuri ni kiburi
Unaweza ukajikuta unaweka ushuhuda kwenye ule uzi.
 
Back
Top Bottom