Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

U mlimbwende, wa kipekee, mteule... unayependwa
e1a75810-9c88-4565-be04-24f352b4febf.jpeg
 
Sijambo The don himself, heshima yakoo ya dhati kabisa, nilikumisimo[emoji6]..!

Wakatalunya hawanipendi hao, labda kijana mpole tu.!!
Nimekuja hapa juzi; na nilikuwa sijakuona. Nilifikiri pengine majamaa makatalunya yameondoka na nywila.

Heshima ya dhati mara dufu pia ikurudie. Tumshukuru Mungu kwa yote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nilienda zambia kushabikia timu ya moudgulf timu ya wananchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Za kupotea.?
 
Back
Top Bottom