Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilienda zambia kushabikia timu ya moudgulf timu ya wananchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Za kupotea.?
Mmh hawana lolote hao[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Ukiona hivyo basi likely majamaa yanataka namba hayo ili yaendeleze michakato katika pasono levo zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
Nahisi kutakua na shida sehemu ambayo ata mimi sifahamu ...... Huu ndio muda nahitaji busara na msaada wako kuweka mambo sawaBro, kuna mahali umekorofisha ama? Mbona Mkatalunya amebakia Kijana Mpole pekee? Whati didi yu du? [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji57][emoji57]Jamani
Basi mie nikajua na yeye anashabikia timu ya wananchi, karibu tena nilimis mapost yako[emoji38]Moud akiona ile timu ya wananchi inafungwa anafurahi balaa. Kupotea kulienda salama sana. Tupo !!!
🙏🙏[emoji57][emoji57]
Wagonjwa Mungu awaponye
Poleni mli kwenye daladala..
[emoji57][emoji57]
Mzee wa Welding na Wedding [emoji16][emoji16][emoji16]Nahisi kutakua na shida sehemu ambayo ata mimi sifahamu ...... Huu ndio muda nahitaji busara na msaada wako kuweka mambo sawa
#PuliiziMaanaYuleViatuvyaFarasiAtanipigaGape