Hahahaa acha zako.kwan huna girlfriend?ebwana nimeona papa for the first time
Nitarudi akitokea maana chemistry iliyopo kati yangu na yeyekaenda kantini kunywa chai
Habari gani Numbisa tenaJaman ee uzi huu unatuweka dunia ya peke yetu nimetoka nje leo nikakutana na habari ya huzuni kabisa