moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Haya nitakuambiaBrowser
Kumbee[emoji1]..!Sana, ila nadhani jina lako sijalipotosha.
Ni kama watu hapa wanavyoniita moud badala ya moudgulf, kama nalipotosha sema
Hahhaah, eti mpita njia!Mi siyo mwananchi,
Sisi wapita njia chama letu linajulikana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Cc mzee wa liver,
Haya nitakuambia
Kabla sijalalaSaa ngapi
Kuna mtu kaniboa sana, ila naogopa kumfokea asije akateuliwa kuwa Mkurugenzi [emoji849][emoji849]
π π π π π π πUzi tayari View attachment 1221794
Natafuta bwana shomboshombo wa kipemba.Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Weka kama hiyo kwanzaπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈAaah bradha kunjua tuone kucha
Mcheki huyu anaitwa YegomasikaNatafuta bwana shomboshombo wa kipemba.
Unatafuta bwana wa Kipemba? We mkuu jinsia yako mi najuaga ni +me? Anyway hayanihusu. Kuna bwana Mpemba mmoja humu bila shaka akiona ombi lako atakutafuta [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Natafuta bwana shomboshombo wa kipemba.
Mgumu feki huyo tena aje kwa kasi huku asije chelewa [emoji16][emoji16][emoji16]