Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
πππHalafu mimi siyo kaka yako mpendwa Hawachi. Please usinibane kwenye hiyo zone ya ufriendzone. Kuzibiana ridhiki tu yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahah! Adi mpendwa wako CP nae unataka kumzawadia?πππKwa kaka zangu achague yeye yupi anataka Kati ya Bradha, Davet, Simba ya buyenze au Capitalpool.
Hahah!Huu mpira utauruka hadi King aje akupindue.Oohooooo ....
Hahahaha kinachonishangaza mrembo kajileta nashangaa hamtaki ila Capitalpool anaonekana atakubali πHahah! Adi mpendwa wako CP nae unataka kumzawadia?
βHayo nitahakikisha mwenyewe. No friendzone na ubro please [emoji16][emoji16][emoji16]
Au nikatae Mpendwa?Hahahaha kinachonishangaza mrembo kajileta nashangaa hamtaki ila Capitalpool anaonekana atakubali π
Kuna siku nilisema humu ukiwa hivyo Chaputa lazima wakutambue kama mwanachama haiNi matani tu mpendwa Hawachi. In reality hawa ni walaini kuliko hata sisi tunaojiachia hapa kwa uhuru eti wapenda misambwax...mbwembwe tu. Tangu lini mwanaume rijali asiye na kasoro akawa mgumu mbele ya mwanamke?
Amenichoka nadhani, hanitaki tena.Hahah! Adi mpendwa wako CP nae unataka kumzawadia?
Mpendwa nikukumbushe bahati haiji mara mbili πππAu nikatae Mpendwa?
Mkatalunya umeona mgoli wa Suarez?Born sinner
Siwezi kukuchoka mpendwaAmenichoka nadhani, hanitaki tena.
Hahah! Watu wameogopa mwandiko wa kiume ule πHahahaha kinachonishangaza mrembo kajileta nashangaa hamtaki ila Capitalpool anaonekana atakubali π
Aisee kwa hiyo jamaa ni dumeHahah! Watu wameogopa mwandiko wa kiume ule π