Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afrika sisi bado sana. Kwa wenzetu huko hii ni kashfa kubwa utakuta wahusika wanapukutika tu kwa kuachia madaraka. Sisi huku mtu unakufa kama mbwa na hakuna anayejali. MV Skagit iliondoka na mpwa wangu mpendwa mpaka leo hatujui aliko japo alikuwa kwenye hiyo meli. Hakuna cha fidia wala bima. Watu wamekula rushwa wakajenga majumba baada ya kuruhusu limeli libovu ambalo halikupaswa kamwe kusafiri katika bahari kuu. Matokeo yake watu zaidi ya 400 wakapoteza maisha. Who cares? This is Africa. You will never walk alone !!!
 
Ugumu wangu wa Almasi poti! [emoji16][emoji16]
Wewe ni kaa la mawe tena ambalo halijapita hata katika moto wala presha yo yote. Laiiiini tu kama udongo wa mfinyanzi wewe poti. Kwema lakini? Jumatatu niliona Steelers waliwafanyia mauaji Cincinnati Bengals. Bila shaka ulifurahi mpaka gego la mwisho....
 
Hivi mwanaume anakuwaje mgumu kwa mwanamke yaani huwa sielewi mnao Sema ni wagumu.
Ni matani tu mpendwa Hawachi. In reality hawa ni walaini kuliko hata sisi tunaojiachia hapa kwa uhuru eti wapenda misambwax...mbwembwe tu. Tangu lini mwanaume rijali asiye na kasoro akawa mgumu mbele ya mwanamke?
 
Niko siriazi mpendwa. Ni nani ajuaye yajayo? Halafu wewe mi nakuwaziaga kuwa ni toto moja hatari jeupe la kishombe shombe hivi linalokaa Uarabuni. Halafu eti ndo unitie kwenye friendzone. Nefaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha usihadaike na hiyo avatar mpendwa mzaramo wa Vingunguti kiembe mbuzi, Bradha ana nijua 😀😀😀Sina ushombe.
 
Ni matani tu mpendwa Hawachi. In reality hawa ni walaini kuliko hata sisi tunaojiachia hapa kwa uhuru eti wapenda misambwax...mbwembwe tu. Tangu lini mwanaume rijali asiye na kasoro akawa mgumu mbele ya mwanamke?
Bora umeandika labla wataamini sijawahi kuona Mwanaume mgumu mbele ya mwanamke mfano Adam na hawa kula tunda na hatatokea.
 
69854688_2446076168811833_2245735814222906257_n.jpg
 
Back
Top Bottom