Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Ata mimi naona bro πAmenichoka nadhani, hanitaki tena.
Najua Mpendwa wangu Hawachi wa milele.Siwezi kukuchoka mpendwa
Mkatalunya umeona mgoli wa Suarez?
Kabisa yani ndio maana unaona wataalamu kama Cole wamempitia mbali sanaAisee kwa hiyo jamaa ni dume
Najaribu kutafuta usingizi Bro,Ata mimi naona bro π
Umepoa sana mzee, vipi kwema huko?
InShaALahIshaalah kwa uwezo wa Allah tukijaliwa kesho
Usiku mwema.Ishaalah kwa uwezo wa Allah tukijaliwa kesho
Toka juzi bro sioni lile vibe lako kabisaNajaribu kutafuta usingizi Bro,
Niko sawa, vipi hali Bro?
Huyu ndio wewe ninaemzungumzia sasa πNajua Mpendwa wangu Hawachi wa milele.
Much Kisses.
Nimeona ile Sub assist na Assist yenyewe hakika kafanya yake naona kala rank ya 9.1Goli hatari sana ile unaweza ukatumia kama nauli ya ndege, hiyo moja umeona play make ya Leo na assist yake mambo kama yale bwana yule hayawezi
Nimeona ile Sub assist na Assist yenyewe hakika kafanya yake naona kala rank ya 9.1
Mambo yanakua mengi mwisho wa mwaka,Toka juzi bro sioni lile vibe lako kabisa
Mimi fresh tu mzee