Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Brilliant move,

Screenshot_2019-10-03 (1) Home Twitter(1).png
 
Wakati hapa natafuta Data zangu maana naona Ninge hapo analeta unazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huwaga nakukumbukaga Tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fedha Hutupa Furaha Tunapokuwa ‘Vijogoo’ Tu.
Je, kuwa au kupata fedha nyingi ndiko kunakoweza kumfanya mtu awe na furaha ya kweli? Hili ni swali ambalo huenda kwa sasa, idadi ya watakaojibu kwa ndiyo, inaweza kuwa ya chini kuliko miaka kadhaa iliyopita.
 
Watafiti wamebaini hivi karibuni kwamba, fedha huweza kuongeza furaha kwa aliyenazo kama yeye ndiye ‘kijogoo’ kwenye eneo analoishi, ofisini au pale ambapo mtu huweza kubainishwa na wengine kuwa ndiyo ‘kijogoo’ kwa fedha nyingi kuliko wenzake.
 
Back
Top Bottom