The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Kwani king ameacha kukufundisha zile chenga za hapa na paleππMdomo ndio haufunguki hivyo [emoji39]
Heheheh! Nacheka sana hapaHeheheheeee
#nimeona
#KingKakwaakisiki
#FromGoatToMeeee
Hahaahaa
πππππhahahahahaha,
Nimecheka sana hapo kwenye LG, hadi nimekohoa.
#NaniiYupoTuacheUpuziππ
Nimekuja aisee, kikao cha nini hapa?
Bradha anadai kwanini hunipi matokeo ya mpira kwa wakati, au ndio nimkubalie kiatu cha farasi πNimekuja aisee, kikao cha nini hapa?
Hahah! Kuamini kummiss lilikua ni tatizo dogo ndani ya tatizo kubwa wewe acha tu brohahahahahahah
Kwamba ameamini ulimmiss??
Hahah!Bila kusahau ka picha ka kucha
ππππππππππππ Daah!Kwani king ameacha kukufundisha zile chenga za hapa na paleππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheheh! Nacheka sana hapa
#Nikiwamkubwanitazoeatu
#SasahiviachaniburuzwemimiPreFormOne
Eti chenga za de jong[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani king ameacha kukufundisha zile chenga za hapa na paleππ
Nilikua napigania amani ya familia kwanza bila hivyo ata huo mpira tusingeweza kuuzungumza, ila tulishinda bhana pale Nou Camp sio sehemu salama kwa wapinzani.....Bradha anadai kwanini hunipi matokeo ya mpira kwa wakati, au ndio nimkubalie kiatu cha farasi π
Mie nahisi King hatoi darasa ipasavyo, anaogopa atapitwa ujuzi π π πππEti chenga za de jong[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamooo kiatu cha farasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua napigania amani ya familia kwanza bila hivyo ata huo mpira tusingeweza kuuzungumza, ila tulishinda bhana pale Nou Camp sio sehemu salama kwa wapinzani.....
#AlafuutaniuakwaPresha
#ohoooh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa just imagine bradha alikuwaga mpole jaman eti saiv nae mjanja tena anatoa na tuishen kwa king. Huyu king balaaMie nahisi King hatoi darasa ipasavyo, anaogopa atapitwa ujuzi π π πππ
Leo namaliza saa 18:30Hahahahaaa,
vipindi vinaisha saa ngapi?