Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Umeona presha tuu?Yani jana ndo nilijua kumbe hata mpira unachangia presha😣, anajifanya hauzungumzii mpira😜
Hujaona alivyo na midadi, hatuliii 😂😂😂😂😂, anarusha miguu, mikono utafikiri anacheza yeye😂😂😂
#asiioneHiiPostAisee