Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu unachochea moto aiseee

#letahiozawadi
#Aumuazimepotimauanawinezake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mwambie huyoo asiache na vile viatu virefu[emoji2088]
 
Yule mtu kashushwa Duniani aje kucheza mpira tu, sasa kocha asipompanga ni kumpinga mwenye mamlaka hivyo mashabiki lazima tukemee....

Pia anapokuwa uwanjani huwa anatoa burudani sana, asipopangwa tunamiss vitu vingi mno acha tupige makelele tu.....

Mimi sina cha kuongezea hapa Mkatalunya, yule jamaa ameshushwa kwa lengo moja tu kucheza Mpira sasa iweje umuweke nje asicheze mpira



Mtu Tangia kakiwa katoto kabisa huko Rosario anachukia kijiji mpaka Leo from no where umuweke bench
 
hahahahahahaha

Salama bro?Mishe ni vipi?
Jana Catalunya kicheko japo mwanzoni hali haikua nzuri.

#hataMlangoUliofungwaUnahitajiHodi[emoji3]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Daah sikutegemea kabisa hii Aisee

#palekatalunyakutokaniishusana
#mlangowambaoBradha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
FB_IMG_1569265922578.jpeg
 
Back
Top Bottom