Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uzee mwisho Mwakaleli wewe ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]Kweli Anko hekima anazo ila ananifurahisha anavyopambana kwa vitendo kujitoa kwenye UbabuZone
#AcheniabakikuwaAnkoTu
😂😂😂 LA Leo nimesaveHahah ni bora umeondoka mapema, kusave kupotea kwa wigi tena [emoji23][emoji23]
#semajfhainavoicenote
#ungewekanisikiechekolako
Kwahiyo unataka kutushauri vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawa, tuombe uzima[emoji23][emoji23][emoji23] LA Leo nimesave
#TuombeMeloatuwekee
Ukija kwa papara huwezi elewa kitu😜Wanaoupondea hawajui tuna ladha ya humu ni zaidi ya vanilla
Nimeuona..Umeuona mraba lakini? Halafu wanasemaga eti ukubwa wa kiatu cha mwanaume unashabihiana sijui na kiungo gani sijui mh [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
usijipendekeze ni Sawa.Kuna wakati tafsiri sisisi (direct translation) zinakuwa ngumu. Mi najitwangiaga tu ninavyoona inafaa. Ingekuwa wewe ungetafsirije Don't play nice kwa Kiswahili?
View attachment 1222771