Hapa bado kuna mgogoro wa wafuasi wa messi na CR7
Bila kusahau king kaponea chupu chupu kutoswa
Bradha kamfundisha ninge kuita sis kila mdada wa hapa huku yeye bradha akiomba picha,just imagine ninge katolewa nje ya ligi mapemaaa
Poti bado anasema yeye mgumu ila kabadili maua saiv tunarushiwa miti ya maua ikiwa na bonge la kopa
The happiness akapotea mazima kulipa kisasi kwa king ambae aliadimika ma wiki kama yoteee
Moud ana wiki tamu sana baada ya timu ya wananchi kujikwaa huko nchi za wenyewe,wakati huo huo jana liver imempa presha ya hali ya juu
Depal na hawachi wanatutishia picha yaan watu tunakesha kusubiria watupiepicha walizoahidian ila tunaambulia patupu
Anko siku hizi anaitwa babu na depal ila pamoja na kupewa cheo kikubwa bado anko anaongelea juisi ya parachichi kama kawa
Jirani bado saa yake nzima kabisa. Muda huu tunasubiria kupewa pole za kila aina
Tuna mkazi mpya ila mwenyeji saiv anaitwa mkokaa
Daemusin kaenda likizo huko zenji full kutandika urojo,mahanjumati,biriani
Fragaria kawa adimu kama kupanda kwa mshahara wa muzee baba kule magongoni
Ndugu yetu BAK bado yupo kwenye mpambano maridadi kabisa na mafisi ya buku saba
Mzee wa liver muzee ya KVant haonekani
Ni mie ripota wako bint mpole kabisaasie na makuu wala ugomvi na mutu yoyote