Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Eti keshaiva unasubiri ugali kwani we Mhehe?
Eti keshaiva unasubiri ugali kwani we Mhehe?
Ndio 😂😂Eti keshaiva unasubiri ugali kwani we Mhehe?
Mambo?Aisee
nilivyoona like yako tu nikajua nimekwishaaaa😩😩😩
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Nafurahi kukuona hapa ukicheka TH. Kiatu cha Farasi alikuwa anataka CV utafikiri maombi ya kazi...nilivyoona like yako tu nikajua nimekwishaaaa[emoji30][emoji30][emoji30]
Numbisa bhana, sijawahi kusearch hizo, ila zile za kikorea huwa nazionaKuna filipino humo yaan ina na anjelo au marichui?
Ok poa THshukrani sana ninge, ngoja nijaribu
😍😘😍😘😍😘Yale ya zamani hayatajirudia tena nitakuanaaga MumyL♡v
#Unyongehutoufeeltenazaidiyakuusomanakuusikiatu
Naona alikuwa anataka kuhakiki project yake kama itampa manufaa,yule bwana alikuwa hana masiharaa😎[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Nafurahi kukuona hapa ukicheka TH. Kiatu cha Farasi alikuwa anataka CV utafikiri maombi ya kazi...
Safi mrembo, habar za kushinda?Mambo?
😂😂😂😂😂😂Pale unapomuachia mtoto SYB 😂😂😂🏃
View attachment 1222753
Good, upo mzima?Safi mrembo, habar za kushinda?