Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana kwa maelezo yako bro,sasa hivi sio Williamson tena ni Petradiamonds na asilimia bado zile zile 75 kwa 25

Na huu mgodi wa Mwadui haukuwah kusimama toka uanze kufanya kazi kuanzia 1940 hadi leo unafanya kazi tofaut na migod mingine hasa ya dhahab kuna kipind ilisimama hadi pale awam ya tatu iliporuhusu tena..
Wataalamu wenyewe wa Geology pale Mwadui wanakuambia hadi sasa wameshachimba robo pekee ya almas yote iliyopo Mwadui...yaan hata nusu bado na hawajawah kusimamisha uzalishaj!!
 
Aseee,
Hivi hakuna uwezekano wa kuja kuupora mgodi huo kuurudisha Serikalini kisheria au kimkakati ?
Maana taarifa za aina hii zinatuchoma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…