Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20191004_001046.jpg
 
Sijambo mpendwa za kwako watoto na wajukuu hawajambo [emoji12][emoji3][emoji3]
Wajukuu mhhh. Bado sana huko. Labda miaka 20 hivi ijayo [emoji16][emoji16][emoji16]

Nilisikia eti unalea. Ni kweli mpendwa? Mi niliumia tu kimya kimya. Na ushombe shombe wako majamaa yanakulelesha tu [emoji22][emoji22]
 
Wajukuu mhhh. Bado sana huko. Labda miaka 20 hivi ijayo [emoji16][emoji16][emoji16]

Nilisikia eti unalea. Ni kweli mpendwa? Mi niliumia tu kimya kimya. Na ushombe shombe wako majamaa yanakulelesha tu [emoji22][emoji22]
Hahahaha sio kweli mpendwa ni utani wa ndugu zangu wa like,japo natamani kweli yaani kuwa na Katoto 😀😀😀
 
Wasukuma ushamba hawajauanza leo. Mkanada Williamson alipofika hapo Mwadui mwanzoni kabisa aliwakuta Wasukuma wanatumia almasi kuchezea bao na kuvaa kiunoni kama shanga. Walikuwa wanachimba tu mashambani mwao huko wanakutana nazo wanavutiwa na mng'aro wanakuja wanaweka home wanatumia kama mapambo mpaka mademu wanavaa viunoni. Williamson alipofika akawaambia wamkusanyie hayo "mawe meupe yafananayo na nyota ndogo" na kuwa wanamuuzia. Alikusanya sijui madebe mangapi. Kwa vile alikuwa mwajiriwa wa kampuni moja la madini la huko Sauzi alirudi huko akaacha kazi mara moja akabeba almasi zake na kwenda nazo Kanada. Tayari alikuwa tajiri mkubwa na alipowaonyesha kwao huko walikubali kumpa vifaa vya kila aina na moja kwa moja alikuja kufungua huo mgodi wa Mwadui Williamson Mine mara moja. Alitajirika sana mpaka akaanzisha urafiki na binti wa ukoo wa Kifalme huko Uingereza ambaye inasemekana aliwahi kumtumia zawadi ya kibubu kizima kimejaa almasi safi iliyong'arishwa. Mwadui pale palijengwa vizuri na ukiwa mle ndani mgodini kulikuwa na kila kitu - hospitali za kisasa, shule, mesi, mabwawa ya kuogelea n.k. lakini ukitoka tu nje unakutana na Wasukuma choka mbaya hawana hata viatu. Halafu kila baada ya wiki kama mbili hivi midege kutoka Sauzi inatua hapo kuja kubeba "fungu" la almasi za makaburu ambao pia walikuwa wabia wa mgodi huo.

Williamson mwenyewe alikuwa mtaalamu wa miamba (Geologist) na alipokufa aliacha ramani zake za mgodi mzima. Katikati ya miaka ya 90 mtaalamu wetu mmoja (siyo Profesa Muhongo) akazitazama vizuri ramani zile na kuingiwa na wasiwasi kuhusu ziwa/bwawa bandia la maji alilolitengeneza Williamson mwenyewe. Alipofanya uchunguzi aligundua kuwa kwenye ziwa lile ndipo hasa miamba yenye almasi nyingi ilipokutanika na Williamson aliamua kuifunika miamba hiyo na maji kwa sababu anazozijua mwenyewe. Ilibidi wajenge bwawa jingine na kuyahamishia hayo maji huko na kuanza kuchimba kwenye bwawa la zamani. Inasemekana kulikuwa na almasi nyingi sana mpaka ikabidi kufunga mitambo mipya ya kuchambulia. Bahati mbaya wakati ule mikataba yetu ilikuwa ni ile ya ajabu na nadhani tulikuwa sijui tunapata 25% na wao wenye mitambo na wataalamu wao wanachukua 75%. Mwakilishi wetu wa pale alikuwa jamaa mmoja hivi anakunywa pombe balaa na watu walikuwa wanasema hata haijulikani hata kama hiyo 25% tulikuwa tunapata. Na kila wiki ndege kutoka Sauzi ilikuwa inatua pale na kuondoka na almasi za Wasukuma....

Halafu unaambiwa eti nchi masikini. Shwaiiiniii [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nondo hii.

Ahsante bro.
 
Hahahaha sio kweli mpendwa ni utani wa ndugu zangu wa like,japo natamani kweli yaani kuwa na Katoto [emoji3][emoji3][emoji3]
Usiwe na shaka mpendwa. Kama kweli unataka katoto basi tunaweza kuongea na kuona la kufanya [emoji16][emoji16][emoji16]

(Bila shaka sasa waona kwa nini nilikataa mambo ya kuitwa bro..Mpendwa Hawachi[emoji23][emoji23][emoji23])
 
Back
Top Bottom