Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tulikuwa Muheza kwenye shughuli furani, mara tukaanza kuletewa mafuta ili tunawe tayari kwa chakula.
Tulishangaa kunawishwa mafuta, tulipata shauku juu ya tutakachokula, maana kunawishwa mafuta si jambo dogo.
Mara tukaona tunaletewa sahani za mafenesi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1222950
Bora hivyo bro kuliko mngeletewa ndizi mmenye.
 
Screenshot_20191003-150003~2.jpeg
 
Back
Top Bottom