moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mzima Moudy, habari ya wewe?Mzima Depal
Mzima Moudy, habari ya wewe?
Tatizo ata mgodi ukirudi Serikalini bado mwananchi hatopata faida ya moja kwa moja kama inavyostahiliAseee,
Hivi hakuna uwezekano wa kuja kuupora mgodi huo kuurudisha Serikalini kisheria au kimkakati ?
Maana taarifa za aina hii zinatuchoma sana
Habari ya hapo juu kabisa kulia itafanya ninunue gazeti leo
W'alyekum salam bro, salama huko ulipo?Asalaam Alyeikum
Sidhani broAseee,
Hivi hakuna uwezekano wa kuja kuupora mgodi huo kuurudisha Serikalini kisheria au kimkakati ?
Maana taarifa za aina hii zinatuchoma sana
Hahah aisee...Habari ya hapo juu kabisa kulia itafanya ninunue gazeti leo
Safi bro kwema?Hahah aisee...
Salama bro? Hope Ijumaah imeanza vyema kabsa pande hizo?