Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Tumshukuru MunguHahah! Bro bro.....
#Kumekucha
Kwema bro,Tumshukuru MuumbaSafi bro kwema?
Nimekuona sehemu umetisha sana
Nikweli broTumshukuru Mungu
Mzima mie, hofu kwako bro mzuri!![emoji120][emoji120][emoji120]
U mzima ww?
Kuna mida mtu unajihisi kama una viporo inabidi uje kucheki kidogo.Nikweli bro
Na wewe leo umetisha asubuhi asubuhi tu π
Nakusalimu bro,Kwema bro,Tumshukuru Muumba
Haha kule nilipoamua kumwaga mboga?
Hakika bro uwe na Jumaa swafi kabisaKwema bro,Tumshukuru Muumba
Haha kule nilipoamua kumwaga mboga?
Mimi mzima kabsa,,, hapo kwenye "bro" ndio unapoharbu sasa mremboMzima mie, hofu kwako bro mzuri!!
Utanitag baadae ππππHakika bro uwe na Jumaa swafi kabisa
Huko ulipomwaga Mboga utanisimulia baadae maana sijapaona, mimi nazungumzia hapa hapa kuna fursa ilijitokeza ukapitanayo fasta sana
Nikweli kabisa ukipotea muda mrefu unakuja kuumia vidole humuKuna mida mtu unajihisi kama una viporo inabidi uje kucheki kidogo.
Siku njema bro.
#mizigoYaNdaniSiDhamanaYao
Salama bro, kwema huko?Nakusalimu bro,
Mambo ni Je, pande hizo?
Shukrani ndugu yangu,, Ijumaa njema piaHakika bro uwe na Jumaa swafi kabisa
Huko ulipomwaga Mboga utanisimulia baadae maana sijapaona, mimi nazungumzia hapa hapa kuna fursa ilijitokeza ukapitanayo fasta sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utanitag baadae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππMimi mzima kabsa,,, hapo kwenye "bro" ndio unapoharbu sasa mrembo
Kwema kabisa.Salama bro, kwema huko?
Uwe na siku njema yenye kupendeza bro.
Hahah! Na wewe inakuhusu hii tena wewe ndio umetisha zaidiUtanitag baadae ππππ
Habari ya hapo juu kabisa kulia itafanya ninunue gazeti leo
Mpendwa amekalishwa kwenye mizani hapa πππUsiwe na shaka mpendwa. Kama kweli unataka katoto basi tunaweza kuongea na kuona la kufanya [emoji16][emoji16][emoji16]
(Bila shaka sasa waona kwa nini nilikataa mambo ya kuitwa bro..Mpendwa Hawachi[emoji23][emoji23][emoji23])
W'alyekum salam bro, salama huko ulipo?