Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
1-1Livapuu leo vipi?
1-1Livapuu leo vipi?
Niko naangalia hapa laivu nadhani. Leicester City nako ni katimu kagumu kwani?
Mpolest mai futi [emoji36][emoji36][emoji36]Tunachangamshana tuu hapa.
Huenda nikawa mpolest humu[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Livapuu wanahangaika leo[emoji1]Niko naangalia hapa laivu nadhani. Leicester City nako ni katimu kagumu kwani?
Mzee wa maK-Vant huko aliko si ajabu kaminya ile makitu yake balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Nyie (MC) leo mnacheza?Livapuu wanahangaika leo[emoji1]
atimu kakali haka kalishachukua ubingwa wa epl kimasiharasihara tuNiko naangalia hapa laivu nadhani. Leicester City nako ni katimu kagumu kwani?
Mzee wa maK-Vant huko aliko si ajabu kaminya ile makitu yake balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
WanabebwaPenalty[emoji36][emoji36]
Sie tutacheza keshoNyie (MC) leo mnacheza?
Makusudi mane kajodondoshaPenalty[emoji36][emoji36]
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Wanabebwa
Hakuna usawa hapa duniani. Mwenye nacho daima huongezewa. Kaguswa tu kidogo huyooo kajidondosha...Makusudi mane kajodondosha