Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante wote mliotuwakilisha kwenye uzi huu wa kilozi [emoji16][emoji16][emoji16]

 
Niko naangalia hapa laivu nadhani. Leicester City nako ni katimu kagumu kwani?

Mzee wa maK-Vant huko aliko si ajabu kaminya ile makitu yake balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
atimu kakali haka kalishachukua ubingwa wa epl kimasiharasihara tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa liver bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…