Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
ha ha ha ki vipi mkuu?Hahahah it sounds funny kama kesi ya kipolisi hivi....
Si unawasikiaga kina Muroto?ha ha ha ki vipi mkuu?
ha ha ha mkuu,kwangu ilitokea kwa sababu ni 'invisibility'Hebu anza mwenyewe kwanza uwe mfano halafu wengine tulilike
ha ha ha haSi unawasikiaga kina Muroto?
Utapeli kwa njia ya kimtandao, kumchafua mukulu kwa njia ya kimtandao, kusambaza picha chafu kwa njia ya kimtandao...
Mkuu,leta za kwako tucheke kidogoNasubiri hadithi za wadau
Yaah! Sana mzeeHuyu jamaa anajua sana
Sijawah kataliwa aiseeee nakumbuka Kuna kipind kimoja Kuna dada alichomo betr akawa anakataa kataaa nikaona isiwe tabu mwaka 2013 nikamtigo pesa kama 150k hv nikajifanya Kama sijui hv nikazima na simu Kama wiki siku nawasha simu daaadek mbona alikuja mwenyewe akagegedwa vya kutosha akaondoka na mimba juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuliowahi kukataliwa kimahusiano kwa njia za kimtandao tujitokeze wakuu,na utoe sababu kwa nini ulikataliwa.
Ha ha ha ha,kwa hiyo ili mtu asikataliwe inabidi atangulize salio kwanza?Sijawah kataliwa aiseeee nakumbuka Kuna kipind kimoja Kuna dada alichomo betr akawa anakataa kataaa nikaona isiwe tabu mwaka 2013 nikamtigo pesa kama 150k hv nikajifanya Kama sijui hv nikazima na simu Kama wiki siku nawasha simu daaadek mbona alikuja mwenyewe akagegedwa vya kutosha akaondoka na mimba juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu,haijawahi kukutokea?
sawa bae!Okay Bae
Mimi sijiwahi kukataliwaMkuu,leta za kwako tucheke kidogo
Sawa mkuuMimi sijiwahi kukataliwa