Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Wiki mbaya kwa Pochettino
Nitajitahidi shemejiAsante shemeji. Usiwe unapotea sana [emoji1545]
[emoji23][emoji23]nilisikia kama nimeitwa hiviHahahaa carba bana umeibuka patamu
Those ole good days mambo yalikua firee
[emoji23][emoji23]ngosha the don hataki kuitwa bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti adi ngosha anakataa kuitwa bro
ha ha ha haijawahi kukutokea mkuu,iwe jf n.kPolen[emoji3]
Salama tu ningeSalama carba? Za kupotea?
Pipi kifua na hiki kimvua mvua[emoji125][emoji125][emoji125]Usiku wa kumumunyaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Jina sahihi ni Ngosha The Don fulustopu !!!
Aah Leo tupo geti Dogo si unajua weekendNa leo unazuka geti la chini na yule Mpare mkorofi au unachill home?
Nakusalimia mzee wa harakatisawa bae!
😂😂🏃Pipi kifua na hiki kimvua mvua[emoji125][emoji125][emoji125]
Salama carba,tulimiss uwepo wako hapaSalama tu ninge
Habari ya weekend
😂😂 Bingosawa bae!
😂😂 unanionaje kama nawe haupo kila sehemuKila sehem upo
Na ukayatoe 😂😂
Kwa nini usiseme tu direct kwamba Depal ana kitu unakihitaji. Atakuelewa tu kuliko kuzungukaNarudia tena. Mnikome kuniita bro. Nina sis mmoja tu hapa JF. Sitaki kukwama kwenye ubrozone aisee. Hata kama ni mstaafu [emoji16][emoji16][emoji16]