Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Good niuzi ni kwamba The Don alishastaafu rasmi na haya mambo. Huu ni wakati wenu vijana. The Don kwa sasa ni mshereheshaji, mtoa ushauri na mwongozaji. Msiwe na shaka madogo zangu nyie. I love you guys na nikiona harakati zenu hapa na kwingine nafurahi sana. Donti wori. Bi hapi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

#MapinduziHayapo
#HataYakijaYatakuwaSiYaKumwagaDamu
Bro huu ni mkwara tu hujawahi kustaafu
 
Screenshot_20191005-160527.jpg
 
Niwape siri madogo zangu. Swaga zenu. Ujana wenu. Ushua wenu. Mahela yenu. Ukatalunya wenu. Shoo za kibabe uwanjani....Kuna wakati yote haya yanakuwa ni bure tu. Mwanamke ni kiumbe mwenye hisia sana na kuridhishwa kwake kihisia na kisaikolojia ndiyo hitaji pengine kuu kuliko yote katika ndoa na mahusiano. Hata mkienda huko kuangalia sinema kama jana, hakikisheni kuwa mnalinda huu uwanja wa hisia usiingiliwe.

Kuna kipindi mwanamke anakuwa vulnerable sana na kama hujamridhisha kihisia basi hata uwezo wake wa kufikiri na kuchanganua mambo unakuwa umepuyanga. Ndiyo maana utakuta mke wa tajiri anamegwa na shamba boy au dereva halafu watu wanabaki kushangaa oooh mbona anatimiziwa kila kitu magari na majumba bwerere. Kumbe kihisia mwanamke huyu amekuwa empty muda mrefu sana. Na shamba boy huyu akikosea tu na kutamka "Leo mama umependeza ajabu" basi anakuwa amewasha moto ulao na kuamsha hisia ambazo zimegandamizwa kwa muda mrefu. Utakuta shamba boy anageuka ndiyo msiri wa mama. Shida zake zote anamwambia shamba boy kwa sababu shamba boy ndiyo anamheshimu, ana muda wa kumsikiliza; na hata kumwelewa hisia zake....Mkiijua siri hii mahusiano yenu yatakuwa rahisi sana !!!

#VolumeIkoSawaAuNiongeze?
#KuchapiwaMnakusababishaWenyewe
Umeongea point sana bro,umefanya jioni yangu iende vyema sana [emoji120][emoji120]

#Volumeiposawabro
 
Hahah!

#AchatubroTenasaasabausiku
#Aliongezaubunifukwamatunda
Siri kubwa za kufanikiwa katika biashara.

1. Tafuta tatizo jipya linalowakabili wateja wako watarajiwa na ulitatue.

2. Boresha utatuzi wa tatizo lililopo ili huduma zako zijipambanue.

....and this applies everywhere. Ni hayo tu mdogo wangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Good niuzi ni kwamba The Don alishastaafu rasmi na haya mambo. Huu ni wakati wenu vijana. The Don kwa sasa ni mshereheshaji, mtoa ushauri na mwongozaji. Msiwe na shaka madogo zangu nyie. I love you guys na nikiona harakati zenu hapa na kwingine nafurahi sana. Donti wori. Bi hapi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

#MapinduziHayapo
#HataYakijaYatakuwaSiYaKumwagaDamu
Kgm alianza hivi hivi ila hadi leo yupo madarakani😂😂
 
Back
Top Bottom