Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

255756833525_status_bea4c251c4a54771a7c2a4e66ec47e85.jpg
 
#kunanukiaMapinduziHapa
#CoutD'etat
Good niuzi ni kwamba The Don alishastaafu rasmi na haya mambo. Huu ni wakati wenu vijana. The Don kwa sasa ni mshereheshaji, mtoa ushauri na mwongozaji. Msiwe na shaka madogo zangu nyie. I love you guys na nikiona harakati zenu hapa na kwingine nafurahi sana. Donti wori. Bi hapi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

#MapinduziHayapo
#HataYakijaYatakuwaSiYaKumwagaDamu
 
Historia inataka kujirudia aiseee wakatalunya hawanaga bahati

#coleasionehapa
Esta bana. Nimecheka kweli aisee. Eti Wakatalunya hawana bahati. Makatalunya majamaa yakikuamria huwa hayana simile. Na wala hayahitaji bahati. Yanategemea mikakati, swaga na ushua [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

#janabrokageukayegomasika
#lorilamauamixermatunda
Niwape siri madogo zangu. Swaga zenu. Ujana wenu. Ushua wenu. Mahela yenu. Ukatalunya wenu. Shoo za kibabe uwanjani....Kuna wakati yote haya yanakuwa ni bure tu. Mwanamke ni kiumbe mwenye hisia sana na kuridhishwa kwake kihisia na kisaikolojia ndiyo hitaji pengine kuu kuliko yote katika ndoa na mahusiano. Hata mkienda huko kuangalia sinema kama jana, hakikisheni kuwa mnalinda huu uwanja wa hisia usiingiliwe.

Kuna kipindi mwanamke anakuwa vulnerable sana na kama hujamridhisha kihisia basi hata uwezo wake wa kufikiri na kuchanganua mambo unakuwa umepuyanga. Ndiyo maana utakuta mke wa tajiri anamegwa na shamba boy au dereva halafu watu wanabaki kushangaa oooh mbona anatimiziwa kila kitu magari na majumba bwerere. Kumbe kihisia mwanamke huyu amekuwa empty muda mrefu sana. Na shamba boy huyu akikosea tu na kutamka "Leo mama umependeza ajabu" basi anakuwa amewasha moto ulao na kuamsha hisia ambazo zimegandamizwa kwa muda mrefu. Utakuta shamba boy anageuka ndiyo msiri wa mama. Shida zake zote anamwambia shamba boy kwa sababu shamba boy ndiyo anamheshimu, ana muda wa kumsikiliza; na hata kumwelewa hisia zake....Mkiijua siri hii mahusiano yenu yatakuwa rahisi sana !!!

#VolumeIkoSawaAuNiongeze?
#KuchapiwaMnakusababishaWenyewe
 
Back
Top Bottom