abdi ally
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,563
- 2,170
Yaaaah salio tu huwa hawawez kataa mbele ya nyekundu Zilizo kaaa katika dashbord walletHa ha ha ha,kwa hiyo ili mtu asikataliwe inabidi atangulize salio kwanza?
Huyo kaka yangu wa ukweli hana shida we nirushie moja mpendwa ππππOmba ruhusa yake kwanza ππ
Hebu fanya kuni tag kwenye hiyo picha kisha nami nitaku tag kwenye picha ya Simba wa buyenze na Bradha.Omba ruhusa yake kwanza ππ
Nakuhadithia.Huyo kaka yangu wa ukweli hana shida we nirushie moja mpendwa ππππ
Nimekesha kwenye ule Uzi lakini SYB sijamuona, usijaribu kunilaghai π πHebu fanya kuni tag kwenye hiyo picha kisha nami nitaku tag kwenye picha ya Simba wa buyenze na Bradha.
Jana kaweka usiku mno mida ya saa 7 usiku πππNimekesha kwenye ule Uzi lakini SYB sijamuona, usijaribu kunilaghai π π
Ok umekataa baki hivyohivyo na uchoyo wako.Nakuhadithia.
Ni hb, anamustouch na uchebe mmoja hivi hatari faya na Rangi yake nzuri kama anaogea mafuta π ππ
ningendako ukuje huku, Hawachi anakusaka
Emu njoo PM na hiyo screenshotJana kaweka usiku mno mida ya saa 7 usiku πππ
We mbona umekataa kuni tag kwenye picha ya Ningendako nami sitaki,omba ruhusa kwanza kwa Simba ya buyenze.Emu njoo PM na hiyo screenshot
Emu tukutane PM πππWe mbona umekataa kuni tag kwenye picha ya Ningendako nami sitaki,omba ruhusa kwanza kwa Simba ya buyenze.
Mimi nataka hapa hapa jukwaani pm nimeweka kufuli π.Emu tukutane PM πππ
Naona kabisa lango lipo wazi kabisa πMimi nataka hapa hapa jukwaani pm nimeweka kufuli π.
Aisee siamini, Depal kweli wa kuninyima picha mimi ππππ.Naona kabisa lango lipo wazi kabisa π
[emoji2][emoji2][emoji2]Nakuona kijana unajitahidi[emoji23]
#naombapichanamiminione#[emoji125][emoji125][emoji125]
Hebu ziwekeni hapa.Aisee siamini, Depal kweli wa kuninyima picha mimi ππππ.