Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Haha broAlishaweka kule kwenye uzi wa kujiselfisha. Labda kama aliifuta. Nenda ukajionee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Haha broAlishaweka kule kwenye uzi wa kujiselfisha. Labda kama aliifuta. Nenda ukajionee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Inaload mwenyekit wangu [emoji16]Kafutaa[emoji24][emoji24]
#@ningendako naombanamiminionekidevu#
HahaHeheh!
#HabariMbayaKwaSisiWaFirstEleven
#KunaMtuInabidiAkupishe
ha ha ha ha haYaaaah salio tu huwa hawawez kataa mbele ya nyekundu Zilizo kaaa katika dashbord wallet
Haijakutokea mkuu?
Kwa nini ilikuwa hivyo?Mimi hata sababu sikupewa aisee
AiseNaomba sreenshort ya Ningendako [emoji3][emoji3][emoji3]
Ha ha ha ha haNiliwahi kukataliwa kwa kuchanganya L na R.
Depal mpendwa nilushie picha ya Ningendako najua kwenye ule uzi ni mfatiliaji mzuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Omba ruhusa yake kwanza [emoji2][emoji2]
Huyo kaka yangu wa ukweli hana shida we nirushie moja mpendwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aise hahaHebu fanya kuni tag kwenye hiyo picha kisha nami nitaku tag kwenye picha ya Simba wa buyenze na Bradha.
Sifa zote hizo za kwangu mrembo?Nakuhadithia.
Ni hb, anamustouch na uchebe mmoja hivi hatari faya na Rangi yake nzuri kama anaogea mafuta [emoji28][emoji125][emoji125]
ningendako ukuje huku, Hawachi anakusaka
#KwaheshimayakobrowachamiminikaebenchHaha
#Yupitenahuyo
Muombe ruhusa kwanza. Akikukubalia nairusha [emoji16][emoji16][emoji16]Naomba sreenshort ya Ningendako [emoji3][emoji3][emoji3]
Nilirusha tena bila hizi emoji zenu mnazojisiliba usoni (ambazo mtu anayejua anaweza kuziondoa tu akitaka) halafu nikaitoa fasta. Ila binti mmoja akaiwahi akakomenti "Jibaba la Kisukuma orijino nafwaa". Hivi kumbe hukuiona? Safi sana [emoji16][emoji16][emoji16]Nimekesha kwenye ule Uzi lakini SYB sijamuona, usijaribu kunilaghai [emoji28][emoji28]