D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Mie pia sijambo bro namalizia wekeend, najisikia furaha kupata kaka hapa😀ruhusa kuniita bro.
namshukuru Mungu nipo poa kama chuma cha mtanganyika.
na wewe je Sis ter?
🙂🙂🙂
shimba ya buyenze neno bro analichukia kuliko umasikiniMie pia sijambo bro namalizia wekeend, najisikia furaha kupata kaka hapa😀
Karibu tena kamanda wa visiwani. Natumaini kila kitu kiko salama.shimba ya buyenze neno bro analichukia kuliko umasikini
Tena anapambana liondolewe kwenye kamusi ya uzi kama BAK na vijana wa lumumbashimba ya buyenze neno bro analichukia kuliko umasikini