Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Juisi hii si ina sukari? Na sukari ndiyo huozesha meno?Juisi ya miwa husaidia kuzuia kuoza kwa meno
Juisi hii si ina sukari? Na sukari ndiyo huozesha meno?Juisi ya miwa husaidia kuzuia kuoza kwa meno
Mh !!!Juisi ya miwa ni nzuri kwa watu wenye Kisukari
Sukari ya asili haina mbwembwe za viwandaniJuisi hii si ina sukari? Na sukari ndiyo huozesha meno?
Yeah ya asili broMh !!!
Una kisukari kweli halafu unywe juisi ya miwa?
Bro inaonekana huwa unadaka vislay kwin tu..foundation anataka kuficha nini matuta ama chunusi. PoleNimetumwa leo kwenda kununua hii faundesheni halafu nimpelekee kwake. Kumbe zina namba. Nilipoleta moto ukaniwakia eti nimekosea namba na rangi siyo yenyewe. Sasa mi ningejuaje hiyo namba na hizo rangi? Wanawake bana dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1225430
Hamna. Siyo slei kwini wala nini. Ni jimama la Kilatino hili lishikaji langu very decent kabisa culo grande to the max lina kwake huko nalisaidiaga saidiaga vikazi vya hapa na pale. Lina miaka 34 bado lidogo uso bebi fesi lakini ndo hivyo linataka faundesheni. Nimezunguka mall leo kutafuta faundesheni 15R Amber Honey kama sina akili nzuri. Shwaiiini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Bro inaonekana huwa unadaka vislay kwin tu..foundation anataka kuficha nini matuta ama chunusi. Pole
#teamnatural
Duh aiseee ila 34 mbona sio jimama au ndo mwili jumba la makumbusho? Pole kwa hio errand uliyoitumikia leo si kazi ndogo kusaka kipodozi kipya machoni mwakoHamna. Siyo slei kwini wala nini. Ni jimama la Kilatino hili lishikaji langu very decent kabisa culo grande to the max lina kwake huko nalisaidiaga saidiaga vikazi vya hapa na pale. Lina miaka 34 bado lidogo uso bebi fesi lakini ndo hivyo linataka faundesheni. Nimezunguka mall leo kutafuta faundesheni 15R Amber Honey kama sina akili nzuri. Shwaiiini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]