Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro inaonekana huwa unadaka vislay kwin tu..foundation anataka kuficha nini matuta ama chunusi. Pole

#teamnatural
 
Bro inaonekana huwa unadaka vislay kwin tu..foundation anataka kuficha nini matuta ama chunusi. Pole

#teamnatural
Hamna. Siyo slei kwini wala nini. Ni jimama la Kilatino hili lishikaji langu very decent kabisa culo grande to the max lina kwake huko nalisaidiaga saidiaga vikazi vya hapa na pale. Lina miaka 34 bado lidogo uso bebi fesi lakini ndo hivyo linataka faundesheni. Nimezunguka mall leo kutafuta faundesheni 15R Amber Honey kama sina akili nzuri. Shwaiiini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Duh aiseee ila 34 mbona sio jimama au ndo mwili jumba la makumbusho? Pole kwa hio errand uliyoitumikia leo si kazi ndogo kusaka kipodozi kipya machoni mwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…