interegenciadick
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 698
- 1,111
Hehehe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwache basi
Hahaha! Kama sisi tulivyo Man UYaani hii wiki nipo man city na vile hakuna ucl kesho basi hamna pa kujificha
View attachment 1226191
Wanaume wa uzi wa like mpo ujumbe wenu huuπππ
πππNimemuuliza wakili wangu hapa amenambia Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho mwaka 1880, kwamba madeni ya mwanaume atalipa mwenyewe πKwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1871
Mwanamke lazima arithi madeni ya mumewe ππ
πππNimemuuliza wakili wangu hapa amenambia Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho mwaka 1880, kwamba madeni ya mwanaume atalipa mwenyewe π
financial services Happy birthdayπ
Mmmh mkuu mfano mtoto wa miezi inakuwaje hapoSheria mpya ya ndoa kuanzia mwaka 2020
Mkiachana mwanamke akimngβangβania mtoto hatapewa ela ya matunzo atamtumza mtoto mwenyewe
Happy birthday mtarajiwa wa Capitalpool
Mmmh mkuu mfano mtoto wa miezi inakuwaje hapo
Hii mpya kwangu mfano wote mke na mume wakiwa wanahitaji kuachana sheria inasemaje hapoSheria inasema hamna kuachana mpaka mtoto aache kunyonya
πππHappy birthday mtarajiwa wa Capitalpool
Subiri tuongozane mpendwaπππ
Hii mpya kwangu mfano wote mke na mume wakiwa wanahitaji kuachana sheria inasemaje hapo
Bora umenitoa hofuNlikuwa natania tu sio sheria za kweli izo