moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Vito
Uhuru jiraniJirani saa hizi UKo hapa. NI BARAKA KUBWA..
[emoji23][emoji23]ankoo anasema kwao zimepanda bei anataka chaka jipyaLeo tuna kikao kinachohusiana na zile ndude ulizotupia,
Muda ni saa 11 jioni pale kwa Sokota, jitahidi ufike tutakuwa pamoja na anko Andjul[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chalii za arusha bhana daah!
Haha!Simulizi za ngosha zinafurahisha mara afumue rasta mara wigi hahahaha
Hadi mehisi njaa[emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23]Dahh!! Mzee wa pwani umenitamanisha sana.
Nimetoka shamba nafika homu nakuta huyu shwaini kafanya makazi sehemu niliyo kuwa nimehifadhia viazi....
Namlia taimingi, azubae nimfunikie na mfuniko niwashe moto akili nyingine itajiongeza mbele kwa mbele akiwa anatokota... View attachment 1225916
Hadi mehisi njaa[emoji39][emoji39]
Acha tu kaka ake[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]ukiona chakula tu tayari njaa inauma!!?
Uwepo wako raha tosha ndani ya huu uziHaha!
Aaah hata granada wanayo ila huko mbali bana tupo england sieHahaha!
#kawaombeSevilawanayomanne