Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2019-10-07 epl table - Google Search.png
 
Nimetoka huko jumamosi.
Ankoo wewe na moudgulf si ndo vitu vyenu hivyo.
Mimi situmii hizo,ngoja moud aje tumuulize
Kwa mitaa ya kwenu ni Sokota, ukisogea zaidi Vingunguti ambako hadi supu yake inapatikana. Zaidi ya hapo ni Pugu machinjioni... Ninavyo vijua vituo vya mauzo sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom