Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimetumwa leo kwenda kununua hii faundesheni halafu nimpelekee kwake. Kumbe zina namba. Nilipoleta moto ukaniwakia eti nimekosea namba na rangi siyo yenyewe. Sasa mi ningejuaje hiyo namba na hizo rangi? Wanawake bana dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1225430
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana shemeji
 
F6886828-1A31-40AD-9322-BA8A2ED9440F.jpeg
 
Umesha ling'oa?
Jana nimempeleka mama pale Kibaha, badala ya kung'oa nikashangaa wanaleta limbunduki wakaanza kulishambulia jino la watu maskini!! Nawauliza nini hicho? Eti jino linajaziwa nini sijui?!!! Nilichoka...
Nikawauliza kama nataka "huku" kujaziwe na hilo lidude inawezekana? Toka walivyo ingia chumbani hawakutoka mpaka nikaamua kuondoka na mai waifu wangu.
 
Mpe pole sana mama
 
Nadhani nitang'oa, namsubiria mtaalam.
Kibaha Tumbi au?
 
Back
Top Bottom