moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Dahh!! Mzee wa pwani umenitamanisha sana.
👋KINAPA,
KilimanjaroView attachment 1225912
Maisha ya uswazi [emoji123][emoji123]
Vipi kuhusu huuMaisha ya uswazi [emoji123][emoji123]View attachment 1225919
Nimekipenda hicho kijiukoko na harageVipi kuhusu huuView attachment 1225934
Dahh!! Mzee wa pwani umenitamanisha sana.
Nimetoka shamba nafika homu nakuta huyu shwaini kafanya makazi sehemu niliyo kuwa nimehifadhia viazi....
Namlia taimingi, azubae nimfunikie na mfuniko niwashe moto akili nyingine itajiongeza mbele kwa mbele akiwa anatokota... View attachment 1225916