Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bora wanicheke wengine lakini sio wewe.

#kibutiUpigeWewe
#NaKuchekaUchekeWewe?!?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#sijawahipigakibuti
#Amfreesoul
#hardtoCatch
 
ushawahi kunivulia chupi kuona udogo wangu?
Kakuita dogo sababu real man hua hakalii kupiga kelele mitandaoni kua anampenda mpenzi wake. Kama kweli unampenda fanya yote unayoona yatakayofikisha ujumbe kua unampenda mkeo. Hapo inawezekana unaandika kua unampenda mkeo kumbe hapohapo unetoka kujibu text ya mchepuko.
Kama kweli unampenda onyesha, hauna tofauti na wale wanaosema bwana bwana kumbe usiku au wakiwa pekee yao wanafanya yasiyomuhusu Bwana.

Grow up, Play smart and Adulthood
 
Back
Top Bottom