Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


One of my fav
 
Kidowle
ROB UKO TWITTER hana la maana zaidi yakulia kwamba alimlend chyn kumbe chyna alikwenda kwake kulipia kisasa ok ngoja niwape ki story kifupi BLAC CHYNA ALIKuwa n mchezaji uchi mwenye kasino uko marekani akawa anampenda saana nikk mpaka anaiga swaga zake maisha yake na mamake yalikuwa ya hali ya chin sana.. MUNGU SIO ATHUMAN AKapata zali lakuw video modo... AKAFANYA VIDEO NA TYGA INAITWA ROCK CITY. BITCH TYGA AKAMTAMAN WAKAWA WAPENZ TOKA HAPO MAISHA YA CHYNA YAKA BADILIKA AKAWA ANA URAFIK NA WATU MAARIFU KAMA AKINA KIM AKINA AMBER... SASA WAKABATIKA KUPATA MTOTO MMOJA NA TYGA BAATI MBAYA MAPENZI YAKAENDA KOMBO BAADA YA TYGA KUKUTANA NA MTOGO WAKE KIM ANAITWA KLYLIE.. kipnd iko klylie ana miaka 17 wakawa na mahusiano Tyga akambwaga chyna na chyna imepanda sana Tyga.... ukawa ugomvi kwenye mitandao wanatukanana CHYNA ANAMMIND KIM WHY ANAM SAPOT MDOGO WAKE KUMUIBIA BWANA WAKAT WALIKUWA FRIENDS.. ndio chyna akamtafta kaka wa kim. kaka wa kyle... pia uyo rob.. AKAMSEDUZ... ROB alikuwa lonly wanawake hawamtaki maana ni mnene pia ana kibamia ila CHYNA AKAJIFANYA KUMPENDA ROB AKAINGIA LYN AKAMPA MIMBA... KIMBE MWENZIE ALITALA KULIPA KISASI CHA KWANN MDOGO WAKE ROB KAMUIBIA BWANAKE NA YEYE ANALALA NA KAKAKE.. BWANA UNAMBIWA BAADA YA kylie kuachana na tyga chyna naye akapunguza mapenzi wa Rob AKAWA HATAKI TENA MTOTO.. WAO... NDIO AKAWA ANAMTUMIA PICHA NA VIDEO AKILIWA URODA... MASIKIN ROB ANASEMA ANAJUTA WATU WALIMSIIHI ILA YEYE ALIMPENDA IVOIVO CHYNA
 
Hey my peoples , goodmorning ladies and gentlemen. Wapenzi tomorrow is my birthday, kuanzia leo naanza kupokea wishes zenu hahahah.
Sehemu ya part nishapata maandalizi mengine andjul anamalizia.

Part tutakapo fanya itakuwa suprise tu

Wish yangu kesho wqkati wa part..



Now tunaendelea na maandalizi.

[emoji320] [emoji322] [emoji323] [emoji324] [emoji445] [emoji443] [emoji447] [emoji448] [emoji449]

Tomorrow.... 7th/7/......



[emoji146] [emoji151] [emoji156] [emoji162] [emoji259] [emoji254] [emoji253] [emoji254] [emoji257]

Vinywaji. & chakula




[emoji482] [emoji490] [emoji491] [emoji487] [emoji485] [emoji484] [emoji505] [emoji523] [emoji527] [emoji519]



[emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji504] [emoji509] [emoji509] [emoji507] [emoji524] [emoji531] [emoji534]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…