Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

19624663_1715847315384769_6626491366375424000_n.jpg
19623355_309548429492568_2789716133609996288_n.jpg
 
Kidowle
ROB UKO TWITTER hana la maana zaidi yakulia kwamba alimlend chyn kumbe chyna alikwenda kwake kulipia kisasa ok ngoja niwape ki story kifupi BLAC CHYNA ALIKuwa n mchezaji uchi mwenye kasino uko marekani akawa anampenda saana nikk mpaka anaiga swaga zake maisha yake na mamake yalikuwa ya hali ya chin sana.. MUNGU SIO ATHUMAN AKapata zali lakuw video modo... AKAFANYA VIDEO NA TYGA INAITWA ROCK CITY. BITCH TYGA AKAMTAMAN WAKAWA WAPENZ TOKA HAPO MAISHA YA CHYNA YAKA BADILIKA AKAWA ANA URAFIK NA WATU MAARIFU KAMA AKINA KIM AKINA AMBER... SASA WAKABATIKA KUPATA MTOTO MMOJA NA TYGA BAATI MBAYA MAPENZI YAKAENDA KOMBO BAADA YA TYGA KUKUTANA NA MTOGO WAKE KIM ANAITWA KLYLIE.. kipnd iko klylie ana miaka 17 wakawa na mahusiano Tyga akambwaga chyna na chyna imepanda sana Tyga.... ukawa ugomvi kwenye mitandao wanatukanana CHYNA ANAMMIND KIM WHY ANAM SAPOT MDOGO WAKE KUMUIBIA BWANA WAKAT WALIKUWA FRIENDS.. ndio chyna akamtafta kaka wa kim. kaka wa kyle... pia uyo rob.. AKAMSEDUZ... ROB alikuwa lonly wanawake hawamtaki maana ni mnene pia ana kibamia ila CHYNA AKAJIFANYA KUMPENDA ROB AKAINGIA LYN AKAMPA MIMBA... KIMBE MWENZIE ALITALA KULIPA KISASI CHA KWANN MDOGO WAKE ROB KAMUIBIA BWANAKE NA YEYE ANALALA NA KAKAKE.. BWANA UNAMBIWA BAADA YA kylie kuachana na tyga chyna naye akapunguza mapenzi wa Rob AKAWA HATAKI TENA MTOTO.. WAO... NDIO AKAWA ANAMTUMIA PICHA NA VIDEO AKILIWA URODA... MASIKIN ROB ANASEMA ANAJUTA WATU WALIMSIIHI ILA YEYE ALIMPENDA IVOIVO CHYNA
Hahaa rob yamemkuta kwakweli nawaza kile kipind chao cha rob and chyna kama kitakuwepo tena[emoji23] [emoji23] kama namuona kim na nduguze wanavyoshangilia...
 
KWA ROB KAKA WA KIM KIMENUKA kifupi tu... chyna alianza kupost snap kwa rob kamchit... alianza leo... Kumbe alisahau kama JANA ALIVO LEWA NA AKEWAGA UWA ANAMWAGA MAMBO YOOTE ADHARANI... JANA CHYNA ALIKUWA NA MWANAUME KITANDANI YAANI NDANI YA NYUMBA AMBAYO ROB ANALIPA KODI KISHA CYNA AKAMTUMIA VIDEO WAKIWA WANAKULANA DENDA NA KUMUWISH SIKU NJEMA YA UHURU MAANA JANA ILIKUWA UHURU UKO MAREKAN... ROB AKANYUT SASA UYO MWANAUME ALOKUWA ANAMLA CHYNA URODAA AKAMTUMIA ROB SMS KWAMBA AMTUMIE PESA..... LA SIIVO ATAANIKA MAMBO YOTE YA MKEWE YAAN CHYNA ROB alkamwambia usnitanie wewe uyu mwanamke mm mwenyewe nshamchoka nilikuwa nna mfuck tu kisela maana ana pussy tam... ila wala sina haja naye ila kwakuwa unataka kumuanika unaomba ruhusuu ngoja nikusaidie kumuanika NDIO ROB AKALIAMSHA DUDE KAANZA KUPOST PUSSY YA CHYNA AKA ADITHIA KWAMBA ALIMTUMIA AKAMWAMBIA NAJUA UMEIMISS NJOO UILE... AKADITHIA JINSI ALIVO MLIPIA CHYNA sajari ili mwil wake urudi baada yakumzaa dream afu chyna anakuja wadanganya watu kwamba ni mazoez ila ni sajari.... akadithia jinsi chyna alivo addicted to pombe na madawa mbaya zaidi hana hela yakununua so uwa anamsumbua rob amnunulie kwa exchange ya pussy... akwa anajuta kwann juzi imfack bila kondom.. akasema ataenda kucheck afya... by the way ubuyu ni mref sana ayo ni machache ok TI SI AKAINGILIA BWANA KUMTETEA CHYANA BOB kamwambia tena TI ukome sijasahau jinsi mlivo fanya threesome (kufanya mapenz watu watatu kwa wakat mmoja) wewe chyna na mkeo tinny UBUYU NI MREFU AFU MENG YANAZUKA NTA WA UPDATE WAKATI UWO TUNANGOJA UBUYU WA SHAMSA BADO MASAA MATATU... VIJAN msilale bado mapambanooooooooooo
19931535_987950664681215_7504885837096550400_n.jpg
 
Back
Top Bottom