Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ni kweli huyu mzee alifukuzwa Tanzania?
Huyu mzee alikuwa Kadhi Mkuu wa Tanzania kabla na baada ya uhuru.
Wakati huo hakukuwa na BAKWATA, kulikuwa na East African Muslim Walfare Society. ( EAMWS, 1945-1968).
Kutokana na mafundisho yake, serikali ya Tanzania imemfukuza.
Alipofika Kenya siku chache badaye Kadhi wa Kenya alijivua cheo hicho akamuachia yeye.
Inadaiwa alikuwa na elimu ta kutosha
FB_IMG_1562151872694.jpeg
 
Hii hali ya hewa ni kutafutiana lawama tu
Shemeji yangu kipenzi. Nikiwa mwenye akili timamu kabisa na bila ya kushurutishwa na mtu ye yote, naomba hizo lawama zote ulizonazo uniletee mimi hapa Mbagala [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
#thosewerethehappydays
#callmedadii
Leo we na shogako anonimazi foreva mna nini? Bila shaka injini ziko on [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji116][emoji116][emoji116]Those good ole days...


KIMDABUO%202.jpeg
 
Back
Top Bottom