moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huyu mzee alikuwa Kadhi Mkuu wa Tanzania kabla na baada ya uhuru.ni kweli huyu mzee alifukuzwa Tanzania?
uyo bwana harusi alimchukulia vipimo vya afya kwanza bibi harusi kabla hajamuoa?Natamani kumsingizia bro the don
Shemeji yangu kipenzi. Nikiwa mwenye akili timamu kabisa na bila ya kushurutishwa na mtu ye yote, naomba hizo lawama zote ulizonazo uniletee mimi hapa Mbagala [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hii hali ya hewa ni kutafutiana lawama tu
Mambo ya Wahaya mimi The Don hayanihusu though nashangaa kwa nini hakuonyesha iPhone hapo katika mfuko wa koti....Natamani kumsingizia bro the don[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1226824
uyo bwana harusi alimchukulia vipimo vya afya kwanza bibi harusi kabla hajamuoa?
Mshindweeeeeee [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji16][emoji16][emoji16]Crop hapo chini tuseme ni ngosha the don[emoji125][emoji125][emoji125]
Njoo koromije full jotoHii hali ya hewa ni kutafutiana lawama tu
Kuna miili ina shida [emoji16][emoji16]
si ndio raha yenyewe hiyoo, vishankupe wakose la kusema.Hio ni muhimu sana ila hapo wanatangaza bwana ni dokta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Crop hapo chini tuseme ni ngosha the don[emoji125][emoji125][emoji125]
Leo we na shogako anonimazi foreva mna nini? Bila shaka injini ziko on [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji116][emoji116][emoji116]Those good ole days...[emoji23][emoji23][emoji23]
#thosewerethehappydays
#callmedadii
Hivi vilikuwa vichwa !!!Accra..miaka hiyoooView attachment 1226842